Revocatus paul: Revocatus paul: NJOONI NYIE MJIONEE YATAKAYOKUWA Y...

Revocatus paul: Revocatus paul: NJOONI NYIE MJIONEE YATAKAYOKUWA Y...: Revocatus paul: NJOONI NYIE MJIONEE YATAKAYOKUWA YANAJIRI KWENYE H... : Nawakaribisha ndugu jamaa na marafiki kwenye Blogu yangu ambayo nime...
Wawili kutoka kulia ni wajomba zake Revocatus  Paul ambao ni Mr. Athanas Kailembo, na Mr. Dionis Kailembo, na watatu kutoka kulia ni Baba wa Ubatizo Mr. Felix Mbakile ambapo nao walikuwepo kwenye ibada takatifu ya Misa ya kupewa Daraja takatifu la Ushemasi, uliofanyika tarehe 18 June, 2013, Parokia ya Kristu Mfalme Veyula, Jimbo Katoliki la Dodoma.

Watawa, na waliomstari wa Mbele ni ndugu zake shemasi Revocatus Paul ambao nao walihudhuria ibada takatifu ya kupewa daraja takatifu la ushemasi.

Watawa, ndugu, jamaa na rafiki katika misa ya daraja takatifu la ushemasi wa Revocatus Paul uliofanyika Parokiani Veyula, Jimbo Katoliki la Dodoma.

 Mapadre waliohudhuria Misa ya kuwekwa wakfu wa ushemasi wa frt. Revocatus Paul.

 Hawa ni Wanakwaya wa Kwaya ya Mtakatifu Maria ambao nao pia walifika kuhudhuria sherehe ya daraja takatifu la ushemasi wa Revocatus. Wanakwaya hawa kutoka Parokia jirani ya Kiwanja cha Ndege walifanya kazi kubwa katika kuongoza ibada ya misa kwa nyimbo wakishirikiana na wanakwaya wa parokia ya Kristu mfalme Veyula mnamo tarehe 18 June, 2013.

Shemasi Revocatus akiwa Altareni.


Hapa baada ya ibada ya ushemasi, Shemasi mpya Revocatus akiwa altareni akisaidiana na Shemasi laurent Lelo wa Jimbo Katoliki la Dodoma katika kusafisha vyombo vya altareni.

Related Posts:

0 Response to "Revocatus paul: Revocatus paul: NJOONI NYIE MJIONEE YATAKAYOKUWA Y..."

Chapisha Maoni