NJOONI NYIE MJIONEE YATAKAYOKUWA YANAJIRI KWENYE HII BLOGU YANGU NILIYOANZISHA PUNDE.

Nawakaribisha ndugu jamaa na marafiki kwenye Blogu yangu ambayo nimeianzisha. Hii blogu itakuwa na mambo kadhaa wa kadhaa, Mambo mengi ambayo nitashirikishana nanyi watazamaji kwenye Blogu yangu ni Mahubiri yangu ya Kila Jumapili juu ya Neno la Mungu. Ninakaribisha pia maoni yenu juu ya yote ambayo yatakuwa yanachapishwa humu, karibu tushirikiane na tulijenge taifa takatifu teule la Mungu kupitia neno lake.

Related Posts:

0 Response to "NJOONI NYIE MJIONEE YATAKAYOKUWA YANAJIRI KWENYE HII BLOGU YANGU NILIYOANZISHA PUNDE."

Chapisha Maoni